Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Mi piah natumia fmwhatsapp kila mara unakuja ujumbe huu hadi kelo,nimeamua kurudi whatsapp ya playstore kwanza
Screenshot_20190602-064126_FMWhatsApp.jpeg
 
Nimejaribu kuistall Leo inanigomea. Inasema simultaneously yang Hainan Google play service
 
Ipo vizuri sana, inafeatures extra za kutosha ikiwepo ant-delete yaani mtu akipost kitu imeshakula Kwake hata akidelete wewe unaubofya mubashara
Asee nataka nihamie huko saiv..vipi ina features nzur kweli? Man saiv natumia fm, gb na wasap ya kawaida
 
Kwa mnao fahamu wale tunaotumia GB WHATSAPP Mbona imekuwa na hali sio nzuri sikuizi haitaki inazingua kweli

Nini shida??
 
Mi kila mara nikiitumia inaniletea ujumbe "temporary banned" halaf kunakua na timer ina countdown mpaka imalize ndo niweze kuitumia. Dah
Mie mwenyewe hadi nmechoka sahivi yowhtssap wame nban gb pia wameniban
 
Io ban kila ukija muda unaongeZeka nmeamua kurud WhatsApp messenger mwnyw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom