mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,309
- 942
Mi piah natumia fmwhatsapp kila mara unakuja ujumbe huu hadi kelo,nimeamua kurudi whatsapp ya playstore kwanza
Asee nataka nihamie huko saiv..vipi ina features nzur kweli? Man saiv natumia fm, gb na wasap ya kawaidaHamia Yowhatsapp, mambo burudani huku. Gbwhatsapp mmeishafungiwa
Asee nataka nihamie huko saiv..vipi ina features nzur kweli? Man saiv natumia fm, gb na wasap ya kawaida
Mbn hiyo ipo kwa gb..fm pia kasoro hii ya playstr...nataka featurez zilizo bora zaidIpo vizuri sana, inafeatures extra za kutosha ikiwepo ant-delete yaani mtu akipost kitu imeshakula Kwake hata akidelete wewe unaubofya mubashara
Hata yowhtssap nmepigwa bann piaHamia Yowhatsapp, mambo burudani huku. Gbwhatsapp mmeishafungiwa
Kwa mnao fahamu wale tunaotumia GB WHATSAPP Mbona imekuwa na hali sio nzuri sikuizi haitaki inazingua kweli
Nini shida??
Mie mwenyewe hadi nmechoka sahivi yowhtssap wame nban gb pia wamenibanMi kila mara nikiitumia inaniletea ujumbe "temporary banned" halaf kunakua na timer ina countdown mpaka imalize ndo niweze kuitumia. Dah
Anaongelea status hata mtu aifute kwako utaiona tuMbn hiyo ipo kwa gb..fm pia kasoro hii ya playstr...nataka featurez zilizo bora zaid
Maisha yangu yamekuwa magumu sana bila GB WHATSAPP Kwa kweli hii WHATSAPP ya wanafunzi mm sielewi kabisaaaa kiukweli
hata mimiMi na fmwhatsapp kila muda inaleta ivi View attachment 1115604
Hiyo itakua kuna mtu aliku report kwa mods, ingekua ni hivyo usingepigwa bani ya mda mchache kama hiyoMi nilikuwa nasikia tu kwa watu nami toka jana imeanza kunisumbua,nimesurrender nimerudi official View attachment 1115607
Hata yowhtssap nmepigwa bann pia
Nimerudi whatsapp ya playstore pamoja haina ladhahata mimi