App zangu zote natuma kwa njia ya bluetooth ivo siogopiWatumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam
point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na police za WhatsApp
...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,
kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee
Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom
Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz
wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...
Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
Ndo unafanyaje mkuu tujuze.App zangu zote natuma kwa njia ya bluetooth ivo siogopi
Police Vs PolicyWatumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam
point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na police za WhatsApp
...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,
kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee
Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom
Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz
wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...
Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam
point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na police za WhatsApp
...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,
kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee
Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom
Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz
wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...
Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
Kumbe issue ya Ban ni serious ?Kuna siku nimepigwa ban ya dk 20..zikaisha nikapigwa ban tena, naamka asubuhi ban ikaendelea nikaona isiwe kesi.. Nikaitupilia mbali hiyo gbwhatsapp
Hali gani siyo nzur mbn huelez jambo likamalizika?Mbona imekuwa na hali sio nzuri sikuizi haitaki inazingua
Kuna mdau nimesoma nimelewa kiujumla watu tunaotumia GB WHATSAPP tumepigwa ban na wenye mali yaoHali gani siyo nzur mbn huelez jambo likamalizika?
Hakika Umesema Jambo Zuri Sana, Angetueleza Faida aliyokuwa anaipata Awali na Angetueleza Shida anayoipata SasaHali gani siyo nzur mbn huelez jambo likamalizika?
Hivi unaongea nini?Kuna mdau nimesoma nimelewa kiujumla watu tunaotumia GB WHATSAPP tumepigwa ban na wenye mali yao