Msaada: Gari yangu inashtuka napoachia accelerator na napokanyaga

Habari

Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.

Asante
Gearbox oil na clutch zake ni za kuangalia!

Ila cha kuanzia fatilia mounting zote kama ziko sawa! Ndio zinapelekeaga jerking ya engine na gearbox zikiwa weak
 
Toyota Mark X, ikiwa kwenye mwendo halafu ikawa inabadili gia kuja gia namba 2 au 1 inalia 'ghuu' inashtuka. Ni wakati wa kupunguza mwendo tu ndio huo mlio na mshtuko unapojitokeza. Tulibadili transmission oil lakini bado hali ni ileile..kuna uwezekano shida ikawa ni mount ya gear box?
 
Back
Top Bottom