MSAADA: Gari ipi kati ya hizi inafaa?

Thinkgreen

New Member
Oct 17, 2021
1
2
Poleni na maumivu ya tozo.

Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency) kati ya aina hizi tatu za magari...

1. Nissan Pathfinder
2. Audi Q5
3. BMW X3

Natanguliza shukrani za dhati!
 
in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency

Kwa hivo vigezo hamna hapo. Kimbia kabisa.

We nenda Yota. Hizo gari ni kwa wale tulioshindwa kupunguza unene kwa diet ya chakula.

BM iliwahi nikondesha kilo 5 ndani ya week chache sana. Likianza tatizo moja, jingine na jingine linazaliwa.

20695896-222B-4284-A3F3-C16AF92E0EF0.jpeg
 
Sijaelewa kdgo matumizi ya familia na idadi ya familia iko vp maana kwa uelewa wangu gari za familia n kama alphard hv ila if ndo selection zako go to BMW ka uwezo unaruhusu n nzur ukiipa matunzo yanayotakiwa kwa muda sahihi
 
Poleni na maumivu ya tozo.

Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency) kati ya aina hizi tatu za magari...

Kuna watu kimoyomoyo wanasema go for Japanese wakati Pathfinder ni gari ya wazungu na equivalent yake ni Terrano.

Familia yako ya watu wa ngapi?

Hata 2 seater ni gari ya familia kama hamna watoto.
 
Mkuu nipe mbili tatu kwenye hii...View attachment 2060638
BMW E90 hiyo 320i. Kwa kucheki izo taa ni 2005-2008 model (kabla ya facelift ya 2009).

Hiyo 320i inatumia engine ya 4 cylinders, N46 na ina cc 2000 hivi, na 150hp.

Kama unaitaka nzuri lakini 6 cylinders kuanzia 323i 325i 330i na kuendelea ndio kali na tunashauri mara zote.

Engine ya N52 ambayo ipo kwenye izo gari nilizotaja ni the best aisee.

Matatizo mengine yanavumilika ila ni wazi Wajerumani kidogo service gharama zipo juu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
BMW E90 hiyo 320i. Kwa kucheki izo taa ni 2005-2008 model (kabla ya facelift ya 2009).

Hiyo 320i inatumia engine ya 4 cylinders, N46 na ina cc 2000 hivi, na 150hp...
Asante mkuu hii ya 2006
 
Back
Top Bottom