Msaada: Gari inapungua nguvu wakati naendesha, na inakuwa slow kuchanganya

Hivi Mkuu gari Ikiandika O/D OFF maana yake nini???
Hiyo maana yake umebonyeza kile kitufe cha OVER DRIVE (O/D) na kukiweka kwenye OFF position, kibonyeze tena ili kikae kwenye ON position na hiyo warning light itaondoka, unless kuna tatizo lingine la umeme.
 
Watafufe hawa NP. Wako Temeke vetenari wanapima gari lako kwa kutumia diagnosis machine hivo utajua tatizo la gali lako na utajua nini kinatakiwa kurekebishwa +255710600608View attachment 891835
Kama gari haina PORT ya ku-CONNECT hiyo machine yao ili ifanye hiyo diagnosis, ni sawa na kutaka kuweka flash kwenye laptop wakati huna port ya flash.....
 
Hiyo maana yake umebonyeza kile kitufe cha OVER DRIVE (O/D) na kukiweka kwenye OFF position, kibonyeze tena ili kikae kwenye ON position na hiyo warning light itaondoka, unless kuna tatizo lingine la umeme.
Mkuu hujamuelewa nini hasa anataka....

NADHANI AKITAKACHO NI HIKI..

Your Over Drive has been turned off. By pressing the button on or near the shifter, you disabled Overdrive (OD). This keep the vehicle from shifting into a higher gear when you don't need it while driving around town at speeds less than 40MPH.

Over Drive indicator is being ON when you press O/D button the gear shifting will use sport drive mode ( long time to shift from level to next level)

NB: NIMEGUGO HII

CC Hon Nkundwe
 
Mimi gari yangu ni toyota raum, ilikua ikifanya ivo nikasafisha plug naona sasa haifanyi, lkn pia sijaridhika nitaenda kufuatilia na masuala ya fuel pump n.k kutokana na ushauri nliousoma humu. ilifikia wakati haichanganyi na pia ukitaka kuondoka tu inazima au saanyengine inazima kwenye mwendo.
 
Back
Top Bottom