Msaada garage nzuri ambayo mtu anawezapata mafunzo kwa vitendo.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
1,654
1,154
Wakuu nilikuwa naomba msaada kuna mdogo wangu kamaliza degree ya Mechanical mwaka uliopita, lakini mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira .Nilikuwa naomba kama panaweza patikana garage nzuri aje kuongeza ujuzi hata kwa malipo kidogo kama itawezekana kwa kipindi cha miezi 4/6.yeye anaishi Kibamba(DSM) na garage itakuwa vizuri ikiwa ndani ya DSM.
 
Mpeleke Nduvin TMK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom