KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,658
- 1,157
Wakuu nilikuwa naomba msaada kuna mdogo wangu kamaliza degree ya Mechanical mwaka uliopita, lakini mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira .Nilikuwa naomba kama panaweza patikana garage nzuri aje kuongeza ujuzi hata kwa malipo kidogo kama itawezekana kwa kipindi cha miezi 4/6.yeye anaishi Kibamba(DSM) na garage itakuwa vizuri ikiwa ndani ya DSM.