Msaada galaxy s 5 rebooting.

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,802
5,493
Wakuu habari za mapumziko ya Eid.
Simu yangu S 5 inajizima na kujiwasha mara kwa mara hasa pale ninapoiwasha kwa mara ya mwanzo asubuhi kwanza zile apps ambazo ziko kwenye sd card zina grey out kwa muda mrefu then anaanza kujizima na kujirestart kwa muda au wakati mwingime inazima kabisa mapaka niiwashe tena.
Wajuzi Khalfan 56 ,Chief mkwawa na wengineo itifaki imezingatiwa naomba msaada wenu!
Natanguliza shukurani
 
Huenda ni shock ya betri japo sio 100%
Jarbu kuweka betri nyngine uone kama tatizo litaendelea.
 
Ahsante mkuu ila ungeni fafanulia nini kinasababisha hiyo shock ya betry maana ninatembea na betry ya ziada kuepuka kutembea na charger or power bank na hali ndio hiyo hiyo
Wakuu habari za mapumziko ya Eid.
Simu yangu S 5 inajizima na kujiwasha mara kwa mara hasa pale ninapoiwasha kwa mara ya mwanzo asubuhi kwanza zile apps ambazo ziko kwenye sd card zina grey out kwa muda mrefu then anaanza kujizima na kujirestart kwa muda au wakati mwingime inazima kabisa mapaka niiwashe tena.
Wajuzi Khalfan 56 ,Chief mkwawa na wengineo itifaki imezingatiwa naomba msaada wenu!
Natanguliza shukurani
 
Wakuu habari za mapumziko ya Eid.
Simu yangu S 5 inajizima na kujiwasha mara kwa mara hasa pale ninapoiwasha kwa mara ya mwanzo asubuhi kwanza zile apps ambazo ziko kwenye sd card zina grey out kwa muda mrefu then anaanza kujizima na kujirestart kwa muda au wakati mwingime inazima kabisa mapaka niiwashe tena.
Wajuzi Khalfan 56 ,Chief mkwawa na wengineo itifaki imezingatiwa naomba msaada wenu!
Natanguliza shukurani
inawezekana cable inayoconnect screen na motherboard imecheza yangi ilikuaga na tatizo kama lako
 
kama umeeka apps kwenye sd card, ukiitoa halafu ukiwasha tatizo linaendelea?
Naam nilifanya hivyo ,ila kuna mtu akaniambia nofanye factory reset nimefanya leo ninerudisha few apps bado file za picture tu ambazo nimezihifadhi kwenye laptop mpaka sasa inafanya vizuri tu nadhani kuna apps ilikuwa haijatulia na plani yangu nikurudisha app moja au mbili kwa siku
 
Wakuu factory reset imesolve tatizo langu ahsante kwa msaada wenu pia!
 
Ata hilo tatizo linanikumba sana unaweza kutaka kufanya kitu ikastaki mara inajiristati several times mpaka utoe batri
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom