Msaada: Fundi mzuri wa Carburetor ya Suzuki Carry 1994/1995 (Kirikuu) Dodoma

The Dark Father

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
1,144
1,399
Kama kichwa kinavyoeleza, muongozo unahitajika kumpata fundi wa namna hiyo. Either eneo alilopo au namba yake ya simu, hapa Dodoma.

Natanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom