Msaada: From Gingerbread to Jelly Bean

Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,231
1,487
Wakuu, nina galaxy S. Nataka kutoa Gingerbread na kuweka Jelly Bean. Kama Jb itakuwa inazinguwa, hata latest ya Gingerbread siyo mbaya. Gingerbread iliyopo ni 2.3.6
Asanteni wadau.
 
Mkuu hii simu licha ku upgrade kwenda jelly bean hata ice cream sandwich haiendi, kumbuka hii simu imetengenezewa android os v2.1 Eclair na latest upgrade yake ni android os v2.3.6 ambayo hii uliyonayo, labda nikushauri uifanyie rooting angalau ipokee ice cream sandwich. Nasubiri wadau wengine michango yao nione wanawezaje kukusaidia
 
sikushauri uweke jellybean kwenye hiyo simu, charge itakuwa inaisha haraka hasa ukiwa unatumia 3G
 
Mkuu hii simu licha ku upgrade kwenda jelly bean hata ice cream sandwich haiendi, kumbuka hii simu imetengenezewa android os v2.1 Eclair na latest upgrade yake ni android os v2.3.6 ambayo hii uliyonayo, labda nikushauri uifanyie rooting angalau ipokee ice cream sandwich. Nasubiri wadau wengine michango yao nione wanawezaje kukusaidia
Nashukuru kwa msaada wako mkuu. So far inaonekana ni vigumu ku-upgrade. Sasa ku-root tunaanzia wapi mkuu.
 
kwani ina RAM na ROM ngapi hata utake makubwa kiasi hicho.
mkuu hayo unayoyataka ni makubwa
 
Back
Top Bottom