Msaada Freezer Nzuri ya kununua na bei yake

Unahitaji kupata Show case freezer. Yapo Kariakoo Uhuru road kama unaenda mnazi mmoja. Bei ni 1M +
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Ila go for Philips / Boss / West point. Kama upo vizuri go for LG...

Cc: mahondaw
 
Ninayo singsung kubwa nilinunus mpya kabisa kwa sasa ipo jikoni sina kazi nayo natumia tu fridge sababu hali imebana ntakuuzia kwa bei rafiki kwa sababu ni kubwa itakufaa kwa biashara yako pia ina mbao za chini za guard nitumie namba yako nikutumie picha kwenye whatsapp
 
Tuma picha humu, unaweza kupata wateja wengine pia
 
Ninayo singsung kubwa nilinunus mpya kabisa kwa sasa ipo jikoni sina kazi nayo natumia tu fridge sababu hali imebana ntakuuzia kwa bei rafiki kwa sababu ni kubwa itakufaa kwa biashara yako pia ina mbao za chini za guard nitumie namba yako nikutumie picha kwenye whatsapp
Uapatikana wap
 
Upo wapi Kwanza maana unaweza kuwa Mbali usafiri ikawa shida
 
Ninayo singsung kubwa nilinunus mpya kabisa kwa sasa ipo jikoni sina kazi nayo natumia tu fridge sababu hali imebana ntakuuzia kwa bei rafiki kwa sababu ni kubwa itakufaa kwa biashara yako pia ina mbao za chini za guard nitumie namba yako nikutumie

Ninayo singsung kubwa nilinunus mpya kabisa kwa sasa ipo jikoni sina kazi nayo natumia tu fridge sababu hali imebana ntakuuzia kwa bei rafiki kwa sababu ni kubwa itakufaa kwa biashara yako pia ina mbao za chini za guard nitumie namba yako nikutumie picha kwenye whatsapp
Mkuu picha basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom