Msaada Folders zote zimegeuka kuwa shortcut

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Jamani naomba msaada folders zangu zote kwenye external hard disk zimegeuka kuwa shortcut naomba msaada jinsi ya kuzitoa
 
tumia command ku unhide hao ni virus wame hide hizo folders
 
sehemu ya folder options huwa kunasehemu ya hide system files recomended.. Make sure umepaunmark utapata mafail yako yote
 
Fungua disk yako, nenda Tools >> Folder Options >> View >> Show hidden files and folders
Ikikataa rudi hapa utoe ripoti nikupe njia ya pili ambayo ni manual zaidi
 
Fungua disk yako, nenda Tools >> Folder Options >> View >> Show hidden files and folders
Ikikataa rudi hapa utoe ripoti nikupe njia ya pili ambayo ni manual zaidi

Mkuu nimefanya jinsi ulivyo nielekeza lakini inagoma
 
Na mimi pia naomba msaada wa tatizo linalokaribiana na hilo. Niki-install VLC Media Player Icons zote za Programmes (Internet exploler, moderms, etc) zilizopo kwenye Desktop ya laptop yangu hugeuka na kufanana na shortcut ya VLC media Player na hata uki-click hizo icons e.g. Internet explorer inayofunguka ni VLC media player. Tatizo ni nini hapo wataalamu na linaweza kutatuliwa vipi? Natumia Window 7.
 
kopi jina la file lililoonyesha shortcut halafu paste kwenye sehemu ya URL/sehemu ya kuekea link, kisha bonyeza ENTER file lako litafunguka. Mfano file lako linaitwa sting copy sting na paste kwenye ile link/URL na kuwa E:/sting kisha ENTER, herufi E inategemea extenal yako ni ya ngapi maana kuna local C,D externa inaweza ikawa E.
Thanx
 
hao ni viruses, kwa mwenye harddisk download explorer for xp kama os yako iko below service pack 3 au easier method ni kuichomeka kwenye computer yenye version yoyote ya ubuntu then zitakuwa visible, but ili ukiziweka kwenye xp yako zionekane itabidi urecreate hizo directories then ucopy individual files.
kwa mwenye windows 7 that hapens alot check out this link
http://superuser.com/questions/243652/all-of-my-shortcuts-open-same-program
 
Nashukuru mkuu imekubali kwa kutumia ubuntu.God bless you
 
hao ni viruses, kwa mwenye harddisk download explorer for xp kama os yako iko below service pack 3 au easier method ni kuichomeka kwenye computer yenye version yoyote ya ubuntu then zitakuwa visible, but ili ukiziweka kwenye xp yako zionekane itabidi urecreate hizo directories then ucopy individual files.kwa mwenye windows 7 that hapens alot check out this link http://superuser.com/questions/243652/all-of-my-shortcuts-open-same-program
To BULL25Asante sana mkuu, nimefanikiwa ku-solve tatizo kwa kutumia link uliyoitoa. Big up sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom