Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Jamani naomba msaada folders zangu zote kwenye external hard disk zimegeuka kuwa shortcut naomba msaada jinsi ya kuzitoa
unatumia windows ipi?
tumia command ku unhide hao ni virus wame hide hizo folders
Fungua disk yako, nenda Tools >> Folder Options >> View >> Show hidden files and folders
Ikikataa rudi hapa utoe ripoti nikupe njia ya pili ambayo ni manual zaidi
hao ni viruses, kwa mwenye harddisk download explorer for xp kama os yako iko below service pack 3 au easier method ni kuichomeka kwenye computer yenye version yoyote ya ubuntu then zitakuwa visible, but ili ukiziweka kwenye xp yako zionekane itabidi urecreate hizo directories then ucopy individual files.
kwa mwenye windows 7 that hapens alot check out this link http://superuser.com/questions/243652/all-of-my-shortcuts-open-same-program
To BULL25Asante sana mkuu, nimefanikiwa ku-solve tatizo kwa kutumia link uliyoitoa. Big up sana.hao ni viruses, kwa mwenye harddisk download explorer for xp kama os yako iko below service pack 3 au easier method ni kuichomeka kwenye computer yenye version yoyote ya ubuntu then zitakuwa visible, but ili ukiziweka kwenye xp yako zionekane itabidi urecreate hizo directories then ucopy individual files.kwa mwenye windows 7 that hapens alot check out this link http://superuser.com/questions/243652/all-of-my-shortcuts-open-same-program