Msaada flash haisomi kwenye DVD player

Ian_

Member
Dec 1, 2019
7
6
Habari kwa kila mwana Jf anayepitia uzi huu, matumaini yangu ni kwamba m/Mungu anawasaidia, kwa wote wenye matatizo nawaombea kwa m/Mungu awatue mizigo mliyonayo.

Nikienda moja kwa moja kwenye lililobileta humu, kwa kipindi chote tangia nimeanza kupiga windows kwenye Pc ni mekuwa nikitumia flash (16GB) na kuna muda nilichange flash nlokuwa naitumia kubootia windows, kila baada ya kupiga windows nilikuwa nabadili format ya flash kutoka NTFS kwenda either FAT32 au FAT na ku 'save' kulingana na default features za format hizo.

Lakini hivi karibuni baada ya kupigia windows na kubadilisha format ya flash nakuiweka kwenye FAT32 imegoma kusoma kwenye ka dvd player kangu, inaonesha READ USB baada ya dakika chache haisomi chochote yani inshort content zote hazisomi kwenye hii dvd player. Nilikuwa naomba kwa mwenye alternative anisaidie tu mawazo kama kunayo njia ya ku 'solve'
 
Hiyo flash ukii-connect back kwenye PC unaweza kuiona na kusoma files zake? Kama jibu ni ndiyo, the chances are your DVD player doesn't recognize the new file system which your USB have reformatted to, so consider reverting back to your previous file system.

Vinginevyo kama hata kwenye PC haisomi au haionekani ila inakuwa detected kwamba imekuwa connected, use the DISKPART utility in DOS to reformat the flash. However, under this second option, you are going to loose all the information currently available in the flash
All the best
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom