Msaada: Fingerprint zinagoma, nifanyeje kuepuka kufungiwa line?

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
Wakati najisajiri NIDA mwaka Jana fingerprints ziligoma kabisa, waliniambia watajua cha kufanya ili nipate kitambulisho na kweli kitambulisho kimetoka ila nilipoenda kusajili kwa alama ya kidole voda na tigo kote zimegoma.

Nifanyeje nisifungiwe line zangu ndugu zangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nini wasiwasi wangu ni kusajiliwa kama mlemavu wakati sio

Sent using Jamii Forums mobile app

Wasiwasi ni kwamba, wawe wametumia Jina lako kwenye fingerprints za mtu mwingine.

Siku uyo mtu itokee afanye uharifu. Eneo la tukio tuzikute fingerprints zake. Wazee wa forensic tuziscan tukute jina linasoma wewe.

Sijui utatushawishi vipi?
 
Back
Top Bottom