Msaada: FIESTA Mbeya ilikuwaje?

TinyMonster

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
248
154
Nilifuatilia mvutano wa Sugu na wandaaji wa Fiesta kwa muda wa wiki 2 zilizopita, hadi kufikia hatua ya Clouds FM kutumia sauti ya Sugu kuinadi Fiesta. Lakini siku mbili zishapita tangu ifanyike sijajua nani alishinda manake Clouds wako kimya, tofauti na walivyoongea baada ya kutoka Mwanza na kwa upande wa Sugu sijasikia kauli yoyote.

Please wadau mliohudhuria naomba mtujuze nani alishinda... Clouds walijaza umati au Sugu aliwafunika?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom