Msaada: Fan malfunction error message on dell E6410

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
211
79
Wakuu habar za mida, nimewasha pc yangu DELL LATITUDE E6410 imeniletea ujumbe huo(kwenye picha) , nimejaribu kurun onboard diagnostic lakini sijapata majibu tatizo lipo wapi.
7d2c70a044782db8f934b3c2723eefc4.jpg
 
NENDA KWA WANAOJAZA UPEPO KWA MATARI YA GARI, WAPIGE UPEPO HAPO KWENYE MATUNDU KARIBU NA FAN. MARA NYINGI VUMBI NA TAKATAKA NDOGONDOGO ZINASABABISHA FAN KUGOMA KUZUNGUKA. BROWER HAINA UPEPO MKALI WA HUWEZA KUSAFISHA.
 
Haitoleta madhara yyte mkuu?
 
Wakuu na PC haina yaha dell Ram yake n 2gb processor n yakawad tu nili wek WNDOW 8.1 then nikaa weka n driverpack solution but tatizo linakuj Niki play movie inakuwaa inastaki wakuu naomben msahada wenu
 
Ukiplay movie inatoa maelezo gn?
 
Wakuu na PC haina yaha dell Ram yake n 2gb processor n yakawad tu nili wek WNDOW 8.1 then nikaa weka n driverpack solution but tatizo linakuj Niki play movie inakuwaa inastaki wakuu naomben msahada wenu
Nafikiri ni Driver za Graphics ndio shida
 
mkuu nenda kwa fundi au kama unajua safisha feni hiyo... na kuna uwezekano ikafa muda wowote hivyo nakushauri safisha huku ukitafuta hela ya feni mpya!!!!
 
Wakuu habar za mida, nimewasha pc yangu DELL LATITUDE E6410 imeniletea ujumbe huo(kwenye picha) , nimejaribu kurun onboard diagnostic lakini sijapata majibu tatizo lipo wapi.
7d2c70a044782db8f934b3c2723eefc4.jpg
Bosi hiyo pc ni Dell lat E6410 core i7? Kama ndio fan ipo naweza kuja kukubadilishia.nipo Dsm 0718 290779
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom