msaada: facebook for USSD

muudy

Senior Member
May 25, 2013
156
22
waungwana hebu nielewesheni marafiki zangu wengi wanani invite katika facebook for USSD ila nikijaribu mimi huaga haikubali cjui ni network ya zantel huwa haissupport tu au ni vp alaf kwa wale waliowahi kutumia huduma hii ya fbk for ussd iko powa au je
 
Back
Top Bottom