wakuu kuna kirusi kimeficha mafile yangu ya muhimu niliyokua nimeweka kwenye external...yanaonekana yapo ila yamefichwa....nitumie njia gani niyapate wakuu...msaada tafadhali
karimt asante kwa ushauri wako lakini huyo kirusi anaesababisha mafile kujifisha ukitumia jia uliyo isema hapo juu baada ya dakika kama kumi huwa ina hide tena, je ni antvirus gani au njia gani ya kutatua tatizo hilo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.