Msaada, Epson L850 imenigomea

Mr Sanguine

Member
Dec 29, 2017
77
44
Nimenunua Epson L850, sasa baada ya kujaza wino wake, printer inaonyesha messsage hii: "See the setup manual to complete the initial ink charging."

Hapo sasa nimedata maana nilishamaliza kujaza wino na nimejaza kwa usahihi kabisa. Anayejua namna ya ku bypass hapa anisaidie,
Mwl.RCT
 
ulifanikiwa
 
bro na mimi nimepata hili tatizo leo naomba unipe ujanja
 
Brother machine hiyo umeinunua kwa shiling ngap nisaidie plz

Back
Top Bottom