Msaada; Drivers gani zinakosekana maana games hazitaki kuplay. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Drivers gani zinakosekana maana games hazitaki kuplay.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by g.n.n, Feb 28, 2012.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari natumia laptop aina ya Toshiba; tatizo lake ni kwamba magemu hayakubali kuplay wala DVD maker nayo inazingua kufunguka hii inakuja baada ya kuinstall windows 7 kwenye mashine yangu
  nauhakika kwamba kuna baadhi ya drivers zinakosekana ila sizifahamu vizuri naomba mnijuze ni zipi ila nipige kazi kama kawaida.

  SHUKRANI KWA MSAADA WAKO.
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  vga drivers zpo? Mwanzo nlidhani litakuwa tatzo la graphic card yako may ina memory ndiyo maana inazngua lakn kwa maelezo yako umesema hili tatzo limeanza baada ya kuweka windows 7 nahc labda ni vga
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  kwa game za Call OF duty , jaribu kuinstall direct X.
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Weka sifa za laptop yako ili upate msaada vizuri zaidi
   
 5. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hapo tatizo ni vga kaka wala usihangaike
   
 6. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haina shida kaka ngoja niifanyie kazi.
   
Loading...