Msaada: Download ya biblia ya kiswahili

Salam,

Naomba msaada wa kupata download ya Biblia ya Kiswahili.

Asante

Kwa urahisi unaweza download Agano la Kale na Agano Jipya kwa Kiswahili (Pdf. Files) hapa:

www.somabiblia.com

Kwenye webpage hiyo utaona link (chini kidogo) : "Download Agano Jipya" na "Download Agano Jipya".
Bonyeza na links na PDF itafungua na utaweza to save it on your computer. Sijaona website nyingine
ambapo unaweza download Agano Jipya na Agano la Kale kwa hatua moja.

Pia unaweza download Biblia ya Kiswahili hapa: Biblica | Kiswahili - Swahili Bible Download

Lakini ni lazima download kitabu hadi kitabu kwa utaratibu.

Mimi nimesha download vyote kutoka website hiyo nami nilivyaunga vitabu vyote katika Pdf files mbili - Agano la Kale na Agano la Jipya. Kama unayo google email account na ukinitumie email yako naweza kukutumia Pdf mbili kwa email. Rahisi zaidi ni kutumia www.somabiblia.com

Kwa android mobile phone app. "Olive Tree Bible Reader" nafikiri ni bora. Kwanza download app. baada ya hayo
unaweza download Swahili Bible. Lakini ni Agano la Jipya tu. Sijaona app. kwa android mobile phone na Agano la Kale.
 
Asanteni sana, nitajaribu njia zote. Ni kwa ajili ya PC.Zamani sana kulikuwa na link hapa ya Swahili Bible winrar. nimeisechi bila mafanikio
 
Kama unatumia simu ya Android nenda Play store zipo nyingi ushindwe mwenyewe!
 
Ndugu zangu; Nawaomba msitumie Biblia ya Habari Njema au Neno; Tafsiri hizi za Bibilia zinatumia Dynamic Translation. Tafsiri iliyo afadhali ni ile ya Swahili Union Version.
 
Habari wakuu. Mimi ninaomba mwenye link ya biblia ya kiingereza cha sasa anipatie.
 
Kwenye playstore zipo. Niliyonayo inafunguka kama kitabu mpaka raha. Search biblia kwa kiswahili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom