soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nilikuwa na flash yangu nilihifadhi documensts za muhimu sana lakini nashangaa leo nimefungua documents zipo lakini hazifunguki. Zinagoma halafu nikihamisha kwenye flash nyingine nako zinaload tu kufunguka hazitaki, msaada tatizo ni nini??