Msaada: Documents zangu kwenye Flash hazifunguki

soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
583
235
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nilikuwa na flash yangu nilihifadhi documensts za muhimu sana lakini nashangaa leo nimefungua documents zipo lakini hazifunguki. Zinagoma halafu nikihamisha kwenye flash nyingine nako zinaload tu kufunguka hazitaki, msaada tatizo ni nini??
 
kama kichwa cha habar kinavyosema nilikuwa na flash yangu nilihifadh documensts za muhim sana lakn nashangaa leo nimefungua documents zipo lakn hazifunguki zinagoma halafu nikihamisha kweny flash nyingn nako zinaload tu kufunguk hazitak,msaad tatizo n nn???
Hao ni virus watakuwa wametafuna hizo documents
 
Kama ni shortcut tumia njia hii

Remove the shortcut virus with a command prompt. , click “Start” and search for “cmd.” Right-click on the “cmd” or “Command Prompt Window” result and select “Run as Administrator.” In the command prompt window:
  • Angalia hiyo frash inasoma heruf gani
  • type hiyo herufi kwenye cmd
  • Type attrib -s -r -h *.* /s.d/l/ kisha bonyeza Enter.
  • kama ni shortcut itarud
 
Zimeweka short cut au zipoje
Yaan mkuu mfano kunadocuments ambayo ndo muhimu zaid nilisave gharama ,sSa ukifungua flash hyo document unaiona lakn ukifungua inaload tuuuuu hakuna kinachoendelea mara unakuta madoument mengn yanjiongeza yenyew kweny flash ambayo sikuwa nayo
 
Kama ni shortcut tumia njia hii

Remove the shortcut virus with a command prompt. , click “Start” and search for “cmd.” Right-click on the “cmd” or “Command Prompt Window” result and select “Run as Administrator.” In the command prompt window:
  • Angalia hiyo frash inasoma heruf gani
  • type hiyo herufi kwenye cmd
  • Type attrib -s -r -h *.* /s.d/l/ kisha bonyeza Enter.
  • kama ni shortcut itarud
Asante mkuu flash yang nimewek jin La Tuico(G) kwa hyo heruf G hyo naiweka wap kweny hayo maelezo ambayo umebold?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nilikuwa na flash yangu nilihifadhi documensts za muhimu sana lakini nashangaa leo nimefungua documents zipo lakini hazifunguki. Zinagoma halafu nikihamisha kwenye flash nyingine nako zinaload tu kufunguka hazitaki, msaada tatizo ni nini??
Mkuu tumia computer nyingine yenye antivirus iloyo update then fungua kazi zako
 
Back
Top Bottom