Msaada: Dish la Azam limegoma kuwaka

Salaam Salam,

Nina Dishi la Azam na huwa asubuhi nalitoa na jioni narudisha kwasababu lipo chini.

Kwa kawaida sehemu nilipokuwa nalitega ninapata Intensity 95 kwa Quality 85.

Sasa leo naweka limekataa kabisa. Nikiangalia waya upo vizuri kwa pande zote. Tatizo linaweza kuwa ni nini?

Natanguliza Shukrani.
Rekebusha uzi wako kwanza ndo urudi hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom