chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,685
- 22,694
Habari wadau
Naomba kujua ama kuelekezwa dictionary au kamusi nzuri ambayo itakuwa nyepesi hata kwa mtu wa level ya darasa la Saba kujifunza na kuelewa.
Ikiwa na terminology nyingi za kutosha nitafurahi.
Naomba kama ni soft copy ama hard copy nitashukuru wakuu.
NOTE : DICTIONARY INAYOTAFSIRI LUGHA YA KIINGEREZA KWENDA KISWAHILI