Msaada: Delivery report kwenye Samsung A 8

Samsung A8 ni bonge moja la simu,i love it..ingawa niliporwa na wahuni wa bodaboda barabara ya bibi titi saa 5 za usiku wakati nausuburi mchepuko wangu utoke hostel pale CBE,ili tukalale zetu kusikojulikana..
 
Back
Top Bottom