Msaada: Degree za Chuo Kikuu Huria

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
671
Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu..... Mwenye ufahamu na uzoefu kuhusu shahada/degree ya chuo kikuu huria inayotolewa. Je inagharimu shilingi ngapi kwa mwaka pia kwa kwa jumla mpaka unamaliza chuo ada yao inakuwa shilingi ngapi?

Please jamani nataka nisome OUT!!!
 
Back
Top Bottom