Msaada: Dawa Ya Neuroton Inatibu Ugonjwa Gani?

madokta kweli hii dawa inafanya kazi sawa na tatizo nililo nalo
nilikunywa kidonge kimoja Usiku wa kuamkia leo
kwakweli mabadiliko nayaona , maumivu yameondoka kwa hali fulani
nazani ndani ya wiki moja nitaendelea kuwa kamili kama SALENDA BRIDGE
haya maumivu yanatesa sana, nakuwa kama mzee maana viungo vyote vinakuwa vimekaza na kukosa nguvu
sasa madokta nataka dawa za kuongeza homoni za testosterone
nisaidieni madokta wangu, miti shamba imegonga mwamba

mkuu ulipona na neuroton?
naona nna tatizo kama lako
 
mkuu ulipona na neuroton?
naona nna tatizo kama lako
Mkuu sijapona hata sasa naandika hapa naumia mfumo wa neva
Mazoezi kidogo yananipa nafuu, nisipofanya zoezi kwa siku 1, hali yangu inazidi kuwa mbaya

We yako imesababishwa na nini?
 
Mkuu sijapona hata sasa naandika hapa naumia mfumo wa neva
Mazoezi kidogo yananipa nafuu, nisipofanya zoezi kwa siku 1, hali yangu inazidi kuwa mbaya

We yako imesababishwa na nini?
Bado sijafaham ndo natak niende kwa doctor
 
Yote hayo ya Nini ndugu mbona una hasira sn
Wapendwa, ni vyema kuelewa kuwa ni HAKI ya mgonywa kupata second opinion. Ila, uwe na uhakika na anaekupa mawazo kama ana utaalamu katika fani husika.
 
Mkuu sijapona hata sasa naandika hapa naumia mfumo wa neva
Mazoezi kidogo yananipa nafuu, nisipofanya zoezi kwa siku 1, hali yangu inazidi kuwa mbaya

We yako imesababishwa na nini?
Hapa kuna mambo mawili:

1: Sababu iliyoanzisha tatizo: ni vyema kusikilizwa na kuangaliwa na daktari ili kuthibitisha aina ya maumivu/nature kama ni ya mishipa ya fahamu na chanzo au kama siyo. (COMPLETE REVIEW)

2: Tatizo husika: kutambua chanzo cha tatizo ili nacho kuweza kufanyiwa kazi.

Mfano:
Chanzo chaweza kuwa ni mgandamizo wa mishipa ya fahamu kwenye uti wa mgongo kinachotokana na aina ya kazi.

Hivyo, tiba lazima ijielekeze kwenye kutibu majeraha, kufanya mazoezi ya ku-release mgandamizo na kufanya mabadiliko kwenye mtindo wa maisha/kazi.
 
Back
Top Bottom