Msaada: Dawa ya kutibu jipu

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Habari zenu wakuu.

Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone?

Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
 
Pole kwa maumivu. Dawa ya jipu ni kulitumbua tu! Majipu yaliwahi kunitesa sana enzi za utotoni sitosahau...
 
Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake
 
Back
Top Bottom