Msaada:Dawa ya kupunguza hips kwa wanaume

Larusai Mux

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
979
275
Wakuu habar, Kwa kawaida wanawake ndio wamejaliwa kuwa na hips pana!
Siku hiz tunaona baadhi ya wanaume wana hips pana.
Je kuna dawa au mazoezi spesho kwa ajili ya kupunguza hips kwa mwanaume aliyejaaliwa hips?
 
Dadaangu Mamndenyi, hamna haja ya pole! Ni kautafiti tu ili kuongeza maarifa. Mia
 
We nani kakuambia utumie dawa ya kuongeza hps. Umelikoroga mwenyewe ni lazima ulinywe
 
Sina jibu katika hili. Inawezekana haya ni madhara ya kula kuku wa broiler kwa wingi ambao wafugaji wengine wana tabia ya kuwapa vidonge vya majira. Vile vile hawa kuku wana excess of growth hormone pengine nayo inachangia kwa hayo maumbile yasiyotarajiwa.
 
Wakuu habar, Kwa kawaida wanawake ndio wamejaliwa kuwa na hips pana!
Siku hiz tunaona baadhi ya wanaume wana hips pana.
Je kuna dawa au mazoezi spesho kwa ajili ya kupunguza hips kwa mwanaume aliyejaaliwa hips?
Hebu weka picha mkuu!
 
Piga tiz kwa sana hasa la kukimbia mliman au kichura chura. Afta wiki kadhaa k2 kitakua ktk mfumo mzur
 
Wakuu bado jibu halijapatikana,je ni mpaka Mzizi Mkavu aje? Bas Mziz uje mkuu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom