msaada dawa ya kuondoa vinyweleo mwilini

Skia dogo usiwaze sana.
Kwa wanaume hizo wanazitumia kuwasisimua wanawake.
Hizo huwasisimua sana wanawake pale unapozipitisha kwa mbaali katika ngozi zao.
Sio ugandamize,pitisha juu kwa mbaali katika baadhi ya maeneo inasisimua
Tulia dogo sawa?
nmekuxoma mkuu
 
Usihangaike navyo mkuu, jikubali utashangaa mwenyewe jinsi ambavyo utapendeza.
 
nixhaviacha
Watoto wa kike hasa kule FB ndio hupenda kutumia "x" badala ya "s'' badilika huku ni JF huo Utoto haupo yaani hizo" x" zako zinakera sana.
Halafu kabla hujapost kitu humu jiulize kuwa hicho kitu unaweza kumuulizia jirani yako na akashindwa kukusaidia!
 
Back
Top Bottom