msaada dawa ya kuondoa vinyweleo mwilini

Bouja

Senior Member
Mar 19, 2019
173
127
je kuna dawa ya kuondoa vinyweleo mwilini parmanent hasa maeneo kama miguuni,kwapani,tumboni
 
ndo 'ujentomeni' uo, waxing ni mambo ya kike aisee, mwambie mod afute uzi huu kabla wengine awajaamka kukutupia povu
mkuu kila m2 na anavouchukulia mwili wake ukute unaongea akat ww uko soft kabxa
 
ucpende kuchukulia kila ki2 negative kwan wacio navyo wote wanawake ningekua ctak ndev xawa ila ivo vngne n halal 2
hujui tu vinavyoleta mshawasha...sikifaham lakinj ww humzidi mume wangu...lol..mbona ndo sign ya uanaume hyo..mm napenda balaaa...
 
ucpende kuchukulia kila ki2 negative kwan wacio navyo wote wanawake ningekua ctak ndev xawa ila ivo vngne n halal 2
Skia dogo usiwaze sana.

Kwa wanaume hizo wanazitumia kuwasisimua wanawake.
Hizo huwasisimua sana wanawake pale unapozipitisha kwa mbaali katika ngozi zao.

Sio ugandamize,pitisha juu kwa mbaali katika baadhi ya maeneo inasisimua

Tulia dogo sawa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom