Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Zoezi la siku 4 mpaka 7,Mnakuwa mmewamaliza nje ya hapo may b wametumwa!Toeni vitanda,viti na magodoro yote nje, vitanda na chaga mwagia maji ya moto SN +viti, stuli na meza. Usisahau vyandarua hasa zile sehemu unazofungia juu km unafunga sehemu 4 au 6!Ukianza j4 then mpaka wiki inayofuata hao wageni watakuwa wameenda kwa wachafu wengine. SWALI DOGO KWAKO,VP HAUJAWAI KWENDA NA JAPO. MMOJA KAZINI??
 
hao ndio wadudu gani? sijawai kuwaona nawasoma tu umu


Money Stunna hawa wadudu ni hatari, huko uliko watakuwa washawaua kitambo na hata kama wapo labda kwenye apartments za watu wachafu kwa kiwango cha juu.

Kunguni ndo hawafai kabisa aisee.
 
Ha ha ha ha ha ha.....dawa ninaijua.....mimi nilikuwa nao kama nzi msimu wa maembe.NTARUDI KUMWAGA Uhondo.amini kwamba tatizo limekwisha

watu wana ahadi za wanasiasa lakini huyu ukimkuta anamsema mwanasiasa utashangaa,mbona baba mata hukurudi kama ulivyoahidi.
 
Ee bwana umenikumbusha nilipokuwa tabora hao wadudu walinisumbua sana ili ushauri wangu chemsha maji ya moto na umwagie vitanda na viti. Hapo ndo utakuwa mwisho wao.
 
Pole. Kama ni nyumbani kwako nenda kwenye duka la dawa za wanyama na wadudu ujieleze utapata msaada. Ila kweli taasisi nyingi za elimu zina kunguni mwanzo mwisho. Ukikutana na kunguni wa St. Mathews secondary school utaelewa. Shule ni international wa kunguni. Wakubwa.wengi.wenye hasira.wasioshiba nk
 
Dawa ya kunguni toa vitu vyote nje,alafu kama. Godoro na mito uchome kabsa maana huaga wanaingia kati kat ya matobo ya godoro!so unadhan unakua umewaua kumbe wako ndan ya godoro,afu ktanda unakifungua unakiweka juani,unakimwagia maji ya moto na nguo unazichemshia maji ya moto,yaan ni shughuli kwakwel ukiwaona tena jua hao sio kungun wa ukwel jua wametumwa mkuu!polee
 
Habari wana jamvi,

Nimetumia dawa kadhaa kama{dip ,mafuta ya taa,siodan n.k}kuua kunguni ila wanarudi,sasa naombeni msaada kwa anayejua dawa itakayo nisaidia kuu wadudu hawa wasumbufu.
 
Acha uchafu kuwa msafi ndio dawa madhubuti,
hakikisha nyumba inakuwa safi na haina makorokoro umezidi uchafu,loh
 
dawa yao ni kuweka mazingira safi hao wadudu wanapenda sehemu chafu usipokuwa msafi hata utumie dawa gani watarudi tu
 
Kanunue tna thn mwagia hapo kwny kunguni

Tina ni dawa inayotumika kuchanganyia rang za magar xo inapatkana kwny maduka ya rang za magar
 
Back
Top Bottom