MakauraNdugu zangu, tunaangamizwa na kunguni hatulali, hatuwakaribishi wageni kwa sababu ya kunguni. Tumefikia hatua ya kutaka kujenga nyumba mpya kwa sababu ya KUNGUNI,mtusaidie namna ya kuwatokomeza!
bu nao ni ibilisi au neema?wewe hujawah kumdhulum mtu ndipo ukajenga nyumba hiyo unayoish?? ama je haukuiba?? (no offense intended) kama hapana basi jua hizo ni roho chafu na ni roho kamili ziko ndani mwako. chakufanya chukua maji ya baraka kwa imani kabisa ukiamni kwamba ni damu ya yesu omba maombi ya kuifanya hiyo nyumba iwe wakfu, na kemea hizo roho za ibilisi humo ndani. itakase nyumba yako kwa damu ya Yesu yaani hayo maji ya baraka nyunyiza humo ndani kote na kwenye kila kitu kisha mwambie roho mtakatifu ashuke na moto wake achome kila roho ya adui.
hizi ni roho za malipizi na huwaga watu wengi hawajui haya, utakuta mtu akiona sisimizi kwake anaona ni kawaida tu ama akiona mjusi kumbe ni roho kamili zinakuandama. pole sana ndug
Miaka hii hao wadudu wapo tena kweli? Poleni.
bu nao ni ibilisi au neema?
wewe hujawah kumdhulum mtu ndipo ukajenga nyumba hiyo unayoish?? ama je haukuiba?? (no offense intended) kama hapana basi jua hizo ni roho chafu na ni roho kamili ziko ndani mwako. chakufanya chukua maji ya baraka kwa imani kabisa ukiamni kwamba ni damu ya yesu omba maombi ya kuifanya hiyo nyumba iwe wakfu, na kemea hizo roho za ibilisi humo ndani. itakase nyumba yako kwa damu ya Yesu yaani hayo maji ya baraka nyunyiza humo ndani kote na kwenye kila kitu kisha mwambie roho mtakatifu ashuke na moto wake achome kila roho ya adui.
hizi ni roho za malipizi na huwaga watu wengi hawajui haya, utakuta mtu akiona sisimizi kwake anaona ni kawaida tu ama akiona mjusi kumbe ni roho kamili zinakuandama. pole sana ndug
gfsonwin vipi kuhusu Mbu, Nzi na Mende, hao wadudu wamejaa majumbani mwetu, sasa nao ni 'laana' au 'baraka'?
Maana kiafya mpaka sasa bado sijajua kama sisimizi na Mjusi kama wanaambukiza magonjwa yoyote mbali ya kuwa ni bughudha tu, zaidi wataalamu wanasema sisimizi hula mizoga ya wadudu na mabaki ya chakula na Mijusi hula wadudu wanaoruka au kitambaa ndani ya nyumba hivyo ni viumbe muhimu ndani ya nyumba au baraka!!
Mkuu hapo kwenye red umeniacha kidogo. Naomba ufafanuzi wa kina kidogo.wadudu wowote ndani mwako wakizidi hadi kuleta udhia na kuwanyima amani ndani basi jua ni roho kamili na yakupasa kuikemea kwa jina la Yesu. awe ni inzi ama mbu ama sisimizi ama panya ama mende chawa papasi kunguni viroboto utitiri nk
Wakizidi utakuwa mpole tu. Hiyo kitu japo asili yake kweli ni uchafu lakini wakeshazidi inakuwa janga. Fumigation inaweza saidia kupunhuza do it.
gfsonwin vipi kuhusu Mbu, Nzi na Mende, hao wadudu wamejaa majumbani mwetu, sasa nao ni 'laana' au 'baraka'?
Maana kiafya mpaka sasa bado sijajua kama sisimizi na Mjusi kama wanaambukiza magonjwa yoyote mbali ya kuwa ni bughudha tu, zaidi wataalamu wanasema sisimizi hula mizoga ya wadudu na mabaki ya chakula na Mijusi hula wadudu wanaoruka au kitambaa ndani ya nyumba hivyo ni viumbe muhimu ndani ya nyumba au baraka!!
Mkuu hapo kwenye red umeniacha kidogo. Naomba ufafanuzi wa kina kidogo.