Ndukulusudikucho
Member
- Jun 14, 2012
- 24
- 3
Ohhh pole,fanya fumigation 2 wataondoka wote hao..
wakihama nae.....?
We King'asti,
ngoja wenyewe waje.
.
BAGAH & Erickb52 + Zuia Sayayi
Cleanliness (Usafi) is not really the cause for bed bug (Kunguni) infestation. There is no specific cause for its origination.
They move from one place to another through clothing, baggage, old furniture, mattress and other items. Bed bugs infest where there is maximum human occupation. Even the clean hotels have the population of bed bugs. These insects survive on animals and birds as well
These Bed bugs are human parasites. They live on human blood. They have a very good strategy to suck the blood. You never feel pain when it is sucking ,you feel a red blood mark and pain after it leaves off.
The recent studies say that these bedbugs are good carriers of leprosy, oriental sore, Q-fever, and brucellosis(Krueger 2000) .
So one should be careful , detect them and get rid of them in earlier stages. Always approach pest control experts for permanent solution for bed bugs.
Hakuna dawa kwa kizazi cha sasa cha Kunguni.... Dawa ya kudumu na itakayokufaa mkuu ni KUHAMA mtaa huo unaoishi....!
inabidi uite wana maombi aisee.
Sjui kama nimeeleweka hapo juu maana natumia simu huku tunatoa huduma!!
Fingeboy
inabidi uite wana maombi aisee.
Kwan upo mkoa gani mkuu?
Hawa wadudu siwapendi katka maisha acha tu! Na hawa wadudu wanatabia moja unaweza kuwa unang'atwa kila siku lkn usiwajue labda uwe na usingiz wa juujuu tu yaan uking'atwa ndo ushituke uwashe taa gafla ndo utawaona wanavyo toka nduki!
hii pia ni kwa wale ambao hamna kungun kwao kuna vimende vidogo dogo vinapenda giza sana na huwa vinapenda sana maeneo ya kabati la vyombo, jikon jikon na ktk vyombo tena kukiwa giza, ukiwasha taa au kufungua mlango wanasambaa kurudi viti,makoch, kabatin na kwenye mbao za kitanda! Ilishawi tokea wife kaenda sehem wenyej ni smart na masista duu mbaya lkn hawan time na vitanda sijui walikuwa ni walalafi usiku wanang'atwa hawajielewi sjui? Ndo kuanza kuwasaidia!!
tuachane na hayo Mimi yameshawah kunikuta kiukweli nilitumia dawa nyingi sana baada kuwashtukia kuwa ndo wao wananipa vipele vimoja vimoja mgongon mi nikijua ni chunusi hapa nshang'atwa kama miez 6 hivi!!
Nenda ktk duka la dawa za mifugo,mimea au kilimo hasa duka la kilimo
nunua dawa moja inaitwa DEEP inanuka/nukia sana af pia ni sumu hata kwa binadamu, then utanunua hand sprayer Mf. Wake ni pale baada ya kunyoa saloon/babershop huwa tunapuliziwa maji fulan ya sabun.
Utachanganya maji lita 1:kifuniko 1 cha chupa ya dawa
hii dawa rangi yake kama maji lkn ina unjano kwa mbaali
ukiichanganya na maji tu inageka kuwa kama maziwa yaan nyeupe pee!
Hapo mkuu ukipuliza hata mbu akijipendekeza unamkuta chini
mimi kazi ilifanyika siku moja tu na mpaka nakuja kuoa mwaka jana sijawahi kuona hata mende ndani kwangu!!!
tumia hii dawa Mkuu utaleta feedback tu! Basi wamekulogelezea hao wadudu!!