msaada: dawa ya jinamizi (nightmere)

muudy

Senior Member
May 25, 2013
156
22
waungwana hebu nipeni ushauri wenu nifanyeje maanake cku nyingi clali kwa raha jinamizi huwaga linanisumbua sana ucngizin yaani mpaka ninachoka hebu nishaurini nini nifanye
 
Ndoto za kutisha (nightmare).
Zinasababishwa na shibe (kushiba sana), na ulalaji mbaya (chali)...!

Hali hii usababishwa na kugusana kwa diaphragm na abdominal, na hii kupelekea uvutaji wa pumzi kuwa wa shida... Na meseji inayopokewa kwenye ubongo wako ni picha mbaya ya kutisha (kukabwa).

Unaweza kumuona mtu aliyelala akiangaika uku na kule, unachopaswa ni kumtikisa polepole na kumuita jina lake ili ahamke... Upaswi kumshtua kwa sauti mtu aliye kwenye hali hii, unaweza kumsababishia madhara mengine makubwa, kama vile mshtuko wa moyo.@muudy

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/252447-jinamizi-ni-nini.html
 
Back
Top Bottom