Msaada: Dawa au namna ya kutibu ulimi mzito na vyakula vya kumpa mtu aliyeungua kinywa

blinky255

Member
Oct 2, 2015
28
7
Habari members.

Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito.

Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida?

Natanguliza shukrani.
 
Aisee mpe pole sana jamaa yko

mm sijui dawa ila nimesikitishwa sana na maswahibu yalomkuta
zaidi namuomba MWNYEZIMUNGU amfanyie wepesi na matatizo yake
ampe nguvu na imani
 
Poleni sana,nadhani hiyo siyo ishu ya kutajiwa dawa tu kuanza kutumia,ingefaa amuone daktari kwa matibabu ya uhakika zaidi.
 
Back
Top Bottom