Msaada Data recovery software isiyo ya kulipia

Endo agar

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
487
334
Ndugu habari zenu,naomba msaada nipate data recovery software ya bure au crack
ili niweze ku recover files zangu za kwenye recycle bin
 
vya bure vinaponza lipia acha ubahiri ww kuna tools nzuri sana ukilipia
 
mkuu sijui utaratibu wa kulipia
Binafsi nina Tools Ya Kurudisha data Karibia asilimia 99% bila chenga naweza kukupa then itakuomba keys utafanya payment then utatumia kama utaweza.
na humu ndani nishauzia watu na wote hufanikiwa .kama upp tyr naweza kukutumia software
 
itakuwa vyema mkuu ukinisaidia io software
 
Ipo moja inaitwa recuva free lkn haina uhakika sana wa kurudisha data zako 100%
 
power data recuver ndiyo habari ya mujini download softwere alafu unitafute nikupe key
 
Duh Mi Ninayo Mkuu Ila Za Ku Crack
Zinarudisha Data 100% Kama Hizo Data Hazikuliwa Na Virus Wakati Zinapotea
Nina:
Icare Data Recovery
Stella Phoenix Data Recovery
Recuva Data Recovery
Easus Data Recovery
Windows Doctor
Zote Nilichukua Torrent Kwa Bwana Ching Liu Na SadeemPC
Nitumie Email Nikuforwadie Bure.
 
mkuu bado unazo unitumie na mm?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom