zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,935
- 30,448
Habari za jioni wanaJF, napenda kujifunza lugha hii ila sifaham mahala gani naweza pata hilo darasa wanapofundisha lugha hii kwa hapa dar es salaam, ahsanteni
Nashkuru mkuuNenda Alliance Francaise Upanga