Mkuu, huyo atakuwa na Kansa moja ila imeenea maeneo hayo, twaita metastatic cancer. Na ikifka hatua hii twaita ni Advanced.
Ni vyema ugonjwa huu utokeapo mtu uwahi mapema kutafuta solution endapo sio kansa ya ini na mapafu, maana hizi mpaka sasa hata kama ukawahi matibabu kupona ni ngumu saana.
Ushauri wangu ni huu, lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu lawezekana. Ombeni sana kwa Mungu. Pia Mkuu embu tafuta hiyo juice ya majani ya stafeli, awe anapewa kwa wingi.
Pia vyakula vya matunda na mboga za majani awe anatumia.
Poleni sana Wakuu, mpo hospitali gani?
Duniani twapita Mkuu, kila mtu ataondoka hapa ulimwenguni.
Sent using Jamii Forums mobile app