Msaada: Cursor inaruka mbali nikipress enter katikati ya maneno

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
WAKUU SALAMU

Nina shida inanisumbua takribani wiki sasa nina PC HP, tatizo nililo nalo ni hili
Nikiwa kwenye word document, nikitaka kuedit maneno, nikichukua cursor nikaweka katika ya maneno kisha nikipress enter kasa inahama mbali, hata kama nilikuwa MWANZO MWA MSTARI nikipress enter Cursor ina kwenda mwishoni, hivyo kila napopiga enter baina ya maneno kasa inakwenda mbali, kama usipokuwa makini unaweza kuta unaendela kutype tu lakini unatype pasipo takiwa. Kwa kweli naandika kwa shinda mno ndugu zangu. Yaani ili niweze kuandika au kuepuka hii kadhia basi nisije kurudia kuedit hiyo kazi.
WADAU MSAADA TAFADHALI, SHIDA NI NINI, Nime google sana nakutana na software inaitwa Touch Free nimeiajaribu wapi.Pia ukiiweka kasa mwishoni mwa mstari ukipiga enter inaruka hata mistari 4 hivi kuja chini

-Wakati mwingine nikiiweka kasa katikati ya maneno unakuta ile kasa inakuja na kivuli kama cha bluu hivi inafunika herufi iliyo karibu hapo, kwahiyo nikitaka kubadili herufi hata kama ni moja tu
, unakuta hiyo herufi ntakayoiingiza hapo itafuta ile herufi ya pili/ya mbele yake, hivyo kila unachotatype kinafuta hilo neno/herufi iliyo mbele ya lingine

Natanguliza shukrani
MSAADA TAFADHALI SANA
Chief-Mkwawa, Njunwa Wamavoko, snipa, Mwl.RCT, Paje, Nyasiro, kadoda11
 
Tatizo lako la mwisho, ni umebonyeza button ya INSERT, hiyo button huwa ukibinya inakuwa inaReplace characters badala ya kuongeza herufi katikati ya maneno mengine. bonyeza tens INSERT ili kuDisable hiyo feature
 
ymollel
kiongozi nashukuru kwa majibu LAKINI key board yangu haina hyo batani yenye hilo neno INSERT ni HP,
maneno yaliyopo katika hizi batani ni esc, tab, caps lock, shift,ctrl,fn,alt, backsapace, enter, pause&Shift,alt gr, batani moja ina maneno haya ins pamoja na prt SC nimebonyeza hiyo batani inaonyesha inafuta maneno yoote ya mbele, majina mengine yaliyopo katika hizi batani ni home, end, pg up, pg dn, end, kuna moja ina namba 0 na kuna neno ins -nimejarib u kubonyeza hii batani inaingiza masifuri sifuri tu katika maneno.. sasa SIJUI hiyo INSERT ina kifupi chake katika hayo maneno mkuu PC ni HP kIONGOZI nimejaribu kuipiga picha hii keyboard ila haitokei vizuri

mane

je tatizo linatokea kwenye MS WORD peke yake? au hata kwenye program nyingine. Jaribu kutumia notepad then uone inafanyaje
 
ASANTE MKUU, SHIDA HII NIMEIONA KWENYE WORD NA EXCEL PIA MKUU NAKO KASA INARUKA UKIPIGA INTER NDANI YA HUO MSTARI, NAJARIBU KWENYE NOTEPAD NTAKWAMBIA MKUU. ASANTE

je tatizo linatokea kwenye MS WORD peke yake? au hata kwenye program nyingine. Jaribu kutumia notepad then uone inafanyaje
 
Mtafute mtaalam hiyo machine aifanyie calibration hiyo hutokea sana tu
 
Back
Top Bottom