msaada convicing points za kuhama mkoa mmoja kikazi kwenda mkoa mwingine reason ugonj

PASSIONATE

Member
May 20, 2015
69
27
Wadau naomba mnisaidie namna ya kuhama mkoa nakofanya kazi kwenda mkoa mwingine ili nikaangalie familia.michango yenu ndio mafanikio yangu
 
kama umefikisha zaid ya miaka3 muone afisa utumishi ili uandae strong reason za kushawishi kwann uhame.
 
Back
Top Bottom