Hiyo mafuta inayapenda sana....Ni gari nzuri kwa ujumla.Haili mafuta..inabugia mafuta
Hapo ni litre 5 kwa kms mnunuaji ajikaze tuFuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km
Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
Mzee wewe chukua kitu hicho,kama roho yako inapenda na kuifurahia,mafuta yakiisha unaipaki,yakiwepo unakula nayo maisha town.Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?
Natanguliza shukrani.
View attachment 2288777
Ajue ananunua mke wa piliHapo ni litre 5 kwa kms mnunuaji ajikaze tu
Mark x,crown mnasema ni majini,na hio jeep ni jini tena?Unapoanza mwenzio mkuu kwa ufupi tu hilo ni zaidi ya Jini Mkata upepo
Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovetFuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km
Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
Standard ni lita moja kilometer 8 mpaka 10 ukicheza na pedal na rpm vizuri..!Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?
Natanguliza shukrani.
View attachment 2288777
Hapa ni ikiwa brand newFuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km
Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
JituMirabaMinne ExtrovertHapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
Kuwa na engine kubwa sio sababu ya kula sana mafuta.Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet