Msaada: Connection ya kupata nyama Vingunguti

jey n

Senior Member
Dec 15, 2018
157
142
Habari wadau naomba mwenye namba ya mtu wa Vingunguti nipate nyama kwa bei ya machinjioni kwa ajili ya biashara
 
Amkaga mapema uwe pale nafikiri saa kumi uwe umefkia
 
Habari wadau naomba mwenye namba ya mtu wa Vingunguti nipate nyama kwa bei ya machinjioni kwa ajili ya biashara

Amka mapema kwenye saa tisa au saa kumi uwe umefika

Kama wewe si mtaalamu wa maswala hayo ya machinjioni unaweza ukasoma mazingira ukamtafuta rafiki ukazoeana naye kwa muda mfupi, ili akupe mbinu ili usiibiwe maana unaweza ukauziwa nyama kg100 ukapewa kg80 hata huyo rafiki utakaye mpata naye uwe naye makini
Usisahau kusali au kuswali ili mambo yaende kama unavyotarajia

Maana machinjion inahitaji umakini sana ili wasikuibie
 
Nataka kukwepa kupigwa mkuu
 
Hawatumii mizani?

Nenda uhudhurie kozi siku nne mfululizo ukiangalia wenzako wanavyofanya na wanavyopimwa utajifunzs kitu.

Jitahidi kufika sasa tisa kamili alfajiri kisha anza kozi yako. Kuwa mdadisi sana waulize wauzaji na pia wanaonunua.

Jenga nao urafiki , Swali moja uliza kwa watu tofauti kisha linganisha majibu utapata majibu
 
Hapo kwenye kuuliza watu tofauti nimepaelewa.
 
Kwani ni lazima Vingunguti?
Machinjio yaliyokuwa maeneo flani hapo Kimara Suka hayapo tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom