Msaada: Chuo kinachotoa kozi ya clinical medicine ngazi ya cheti

Sajunne

Senior Member
Jul 19, 2011
104
58
Habari ya asubuhi wakuu,

Nahitaji msaada wenu tafadhali, naomba kufahamishwa chuo kinachotoa kozi ya clinical medicine kwa ngazi ya cheti.

Mazingira ya chuo ni lazima kiwe Dar es Salaam pia ni bora zaidi ikiwa wilaya Kinondoni/Ubungo
(Mbezi beach)
 
Back
Top Bottom