Msaada chochote ukijuacho kuhusu kozi ya tourism&hotel management

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,258
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kozi hizo
Ikiwamo ajira zake
Urahisi au ugumu kupata
Mishahara.
Masomo yake
 
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kozi hizo
Ikiwamo ajira zake
Urahisi au ugumu kupata
Mishahara.
Masomo yake
Bora hiyo ada uliyonayo ununue Shamba uanze kilimo na ufugaji utatoka, sasa hivi mahoteli hayana Wateja na mengi yanafungwa
 
Back
Top Bottom