D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,258
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kozi hizo
Ikiwamo ajira zake
Urahisi au ugumu kupata
Mishahara.
Masomo yake
Ikiwamo ajira zake
Urahisi au ugumu kupata
Mishahara.
Masomo yake
Bora hiyo ada uliyonayo ununue Shamba uanze kilimo na ufugaji utatoka, sasa hivi mahoteli hayana Wateja na mengi yanafungwaNaomba kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kozi hizo
Ikiwamo ajira zake
Urahisi au ugumu kupata
Mishahara.
Masomo yake
tourism je?Bora hiyo ada uliyonayo ununue Shamba uanze kilimo na ufugaji utatoka, sasa hivi mahoteli hayana Wateja na mengi yanafungwa
Maranyingi huuoshia ubaa mediNaomba kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kozi hizo
Ikiwamo ajira zake
Urahisi au ugumu kupata
Mishahara.
Masomo yake