Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

shamp

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
225
213
Samahani jamanii msaada naomba mniangalizie matokeo ya kidato cha nne namba ya shule S.5019 na wengine ulizeni kwenye hii thread wapo wataalamu watatupa majibu.


========

Karibuni tushauriane nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha nne mwaka 2016.
 
Habari wana JF,

Msaada, binti mwenye matokea haya asome masomo gani

Updates:

Samahani kwa nyote.

Kumbe alikosea kutaja namba yake ya Mtihani, baada ya kulia na kuangalia upya, kumbe matokeo yake halisi ni haya yafuatayo:-


DIV III ya Pts 24

CIV - 'C'
HIST - 'D'
GEO - 'D'
KISW - 'C'
ENGL - 'B'
BIO - 'D'
B/MATH - 'F'
COMM - 'D'
B/KEEPING - 'D'




 
HKL/HGL/HGE (ila economics na geography ina hesabu kali kali) yapasa kujiridhisha na kujinoa kwa tuition za hapa na pale. maaana mengine ya kibabe kama pcm, pcb, pgm ni moto mbaya kwa viwango hivyo. **huyo ni muhali kusailiwa form v moja kwa mojam itambidi apoteze mwaka mmoja kwanza kujifua arekebishe D mbili lau zipande kupata C au B au asome kidato cha v wakati huohuo akisoma marudio ya csee. sikushauri kumpaisha kidato cha tano hata kwa mlango wa nyuma. shule nyingi zitampokea kuongeza mapato, utasaga pesa kichwa hakitakuwa katika nafasi nzuri ya ushindani. kila la heri
 
matokeo wanazingua kwenye kufungua shule... bado kwenye system yao kuna kitu hakijaa sawa!
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    20.8 KB · Views: 158
Samahan jaman msaada naomba mniangalizie matokeo ya shule yenye namba hii S.5019 mi cm yangu inauwezo mdogo ko hayafunguki
Msaada tafadhali
Matokeo yashatoka sasa kufinguka ndo balaa.Ikifunguka tutakupatia but hawajaweka majina ila namba.Kama vp acha namba yako then tutakutazamia net ikitulia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom